Hebrews 1:8

8 aLakini kwa habari za Mwana asema,

“Kiti chako cha enzi, Ee Mungu,
kitadumu milele na milele,
nayo haki itakuwa fimbo ya utawala
ya ufalme wako.
Copyright information for SwhNEN